Kuingia kwenye SMC (Logging in to SMC)

1. Bonyeza ikoni ya Sandata Mobile Connect ili uzindue programu.

SMC.png

2. Ingiza maelezo ya kuingia:

      A. KITAMBULISHO CHA KAMPUNI

            i. Kwa watumiaji wa Uthibitishaji wa Ziara wa Kielektroniki wa Sandata = 2- ikifuatwa na nambari ya akaunti. Mfano wa 2-#### (#### = nambari ya akaunti)

            ii. Kwa watumiaji wa Usimamizi wa Wakala wa Sandata= 3- ikifuatwa na nambari ya akaunti.

Mfano wa 3-#### (#### = nambari ya akaunti)

      B. JINA LA MTUMIAJI - Maelezo ya jina la mtumiaji yatabadilika  kulingana na usanidi wa wakala.

            i. Kitambulisho cha Santrax cha mfanyakazi

            ii. Jina la Mtumiaji la mfanyakazi

            iii. Anwani ya barua pepe kutoka kwa wasifuwa mfanyakazi.

      C. NENOSIRI - Maelezo ya nenosiri yatabadilika  kulingana na usanidi wa wakala.

            i. Kitambulisho cha mfanyakazi cha mwajiriwa

            ii. Mfano wa nenosiri la muda mfupi

            iii. Nenosiri la muda mfupi limetumwa kwa anwani ya barua pepe  iliyo kwenye wasifu wa mfanyakazi.

3. Gusa LOG IN (INGIA).

SMC_2.png

 

 

 

Huu ni waraka wa jumla. Hatua na picha unazoona huenda zisifanane kikamilifu na mpangilio au usandi wa wakala wako.

 

 

Comments

0 comments

Please sign in to leave a comment.