Badilisha Nywila / Kufungua Ndani ya Programu (Kwa Kutumia Baruapepe)
Nywila inaweza kubadilishwa pasipo kuingia kwenye Sandata Mobile Connect kwa kugusa Badilisha Nywila kwenye skrini ya kuingia. Machaguo ya kubadilisha nywila yanaweza kubadilishwa kulingana na mipangilio.
Fuata maagizo ya kubadilisha nywila na ufungue akaunti ukitumia baruapepe.
1. Gusa Badilisha Nywila.
2. Weka Jina la Mtumiaji.
3. Gusa Endelea.
4. Gusa Sawa kwenye kidirisha kinachocomoza cha kubadilisha
5. Fungua barua pepe ya kubadilisha nywila yenye mada ya "Sandata Mobile Connect Kubadilisha Nywila"
6. Gusa kiungo cha Weka Upya Nywila Yako kwenye barua pepe.
7. Weka nywila yako mpya na uiweke tena.
8. Bonyeza Wasilisha.
Utaona ujumbe wa kuthibitisha.
Comments
0 comments
Please sign in to leave a comment.