Kuchagua Lugha

SMC inapatikana katika lugha mbalimbali. Watumiaji wanaweza kuchagua wanataka maandishi yaliyo ndani ya programu yaonyeshwe kwa lugha gani.

1. Nenda kwenye Mipangilio.

2. Gusa Lugha.

3. Gusa lugha unayopendelea.

4. Gusa Endelea.

Kuchagua Lugha

5. Gusa Thibitisha ili kuhifadhi lugha unayopendelea.

Uthibitisho wa Kubadilisha Lugha

Comments

0 comments

Please sign in to leave a comment.