Anza Ziara katika kichupo cha Tafuta Mteja (Mteja Asiyejulikana)

Anza Ziara katika kichupo cha Tafuta Mteja (Mteja Asiyejulikana)

1. Nenda kwenye kichupo cha TAFUTA kwenye skrini ya wateja.

2. Gusa ANZA ZIARA ISIYOJULIKANA.

Kuanza Ziara Isiyojulikana

3. Jaza sehemu zinazohitajika.

4. Gusa ANZA ZIARA.

Kugusa ANZA ZIARA huanza ziara ya kawaida na wateja wasiojuliakana. Gusa ANZA ZIARA YA KIKUNDI ili uanze ziara ya kikundi na mteja asiyejulikana au weka nambari ya ziara ya kikundi na uguse JIUNGE KWENYE ZIARA YA KIKUNDI ili uongeze mteja asiyejulikana kwenye ziara ya kikundi iliyopo. Kuna kikomo cha mteja mmoja asiyejulikana kwa kila ziara ya kikundi.

Kutafuta na Kuanza Ziara Isiyojulikana

5. Chagua Huduma.

6. Gusa ENDELEA.

Kuchagua huduma

7. Chagua Eneo.

8. Gusa ENDELEA.

Kuchagua eneo

9. Gusa NDIO ili uanze ziara.

Kuanza Ziara

Comments

0 comments

Please sign in to leave a comment.