Utangulizi

Sandata Mobile Connect® ni programu ya kifaa cha mkononi iliyosakinishwa kwenye simu maizi au tableti. Programu hii inaruhusu mtumiaji kuthibitisha mwanzo na mwisho wa ziara bila kuhitaji matumizi ya simu ya nyumbani ya mteja. Sandata Mobile Connect inahitaji muunganisho wa intaneti kupitia Mtoa Huduma wa Intaneti (Internet Service Provider, ISP) au muunganisho wa Wi-Fi ili kuhamisha data kwenye mifumo ya Kielektroniki ya Uthibitishaji wa Ziara (Electronic Visit Verification™, EVV™) au mifumo ya Usimamiaji Shirika la Sandata.

Comments

0 comments

Please sign in to leave a comment.