Pakua Sandata Mobile Connect®, unaweza kuipata kwenye Google Play store au Apple’s App store, kulingana na kifaa chako cha mkononi. Gusa tu ikoni ya progamu kwenye kifaa chako, na kisha utafute 'Sandata Mobile Connect®' (tafuta ikoni hii mpya ya programu ). Ukiipata, unaweza kupakua programu hiyo.
Tumia viungo vilivyo hapa chini kwa maagizo rasmi ya Google na Apple kuhusu jinsi ya kupakua na kusakinisha programu za vifaa vya Android na iOS.
• Watumiaji wa Android: Google Play Store
• Watumiaji wa iOS: Apple App Store
![]() | Maonyo: Watumiaji wanaosakinisha Sandata Mobile Connect kwenye kifaa cha kibinafsi pekee ndio wanapaswa kutumia maelekezo yafuatayo ya kupakua. |
Comments
0 comments
Please sign in to leave a comment.